JINSI YA KUTUMIA FLASH KAMA RAM.
moja ya matatizo yanayowakera watu wengi kweny kutumia computer ni pale unoona computer yako iko taratbu sana( slow)
Kunasababu nyingi zinazosabanishs hili, ikowemo na udogo wa RAM(RANDOM ACCESS MEMORY).
Unapoenda kutafuta RAM unakuta ni gharama sana kias cha kukufanya ushindwe kabisa kumudu gharama hizo.
Kama ilivyokawaida yangu huwa napenda kufanya magumu kuwa marahisi. Na leo nakuletea somo la jinsi ya kutumia flash kama RAM. hapa hatuchagui aina ya flash wala ukubwa. Kwa njia hii itashangaa kuiona computer yako imekuwa fasta sana.
TWENDE PAMOJA KWA KUFATA STEP HIZI.
STEPS
1. Kwanza futa kila kitu kwenye hiyo flash. Hapa hatuchagui aina ya flash wala ukubwa
2. Chomeka flash Nenda kweny my computer right click then nenda kweny properties.
3. Ukifika kweny properties chagua advanced system settings.
(Normally inapatikana upande wa kushoto wa pc yako)
4. Then click advanced( huwa inakuwa juu)
5. Then nenda kweny settings
6. Then click advanced
7. Click kweny change
8. Utaona kunasehem wameandika automatically cjui nn na maelezo kibao mbele. Upande wa kushoto kuna kibox wameweka √. Itoe
9. Utaona list ya drives zote zilizopo. Chagua hyo ya flash yako kwa kuiclick.
10.Bonyeza custom size(weka tick) then Kweny minimum unachukua size ya flashx1024.
kweny maximum unachukua jibu utakalolipatax2 unajaza hapo
11. Bonyeza set then ok. Then apply
Itakuomba urestat pc yako. Irestat.
Kazi itakuwa imesha na utashangaa kuiona pc yako imekuwa fasta zaid..
Kumbuka kila unapotaka kutumia hyo flash n muhm kuiweka kabla hujawasha pc
Pia hyo FLASH unaweza kuitumia kwa kaz zako nyingne
Asante.
kama umeipenda comment twende sawa
No comments:
Post a Comment