• Breaking News

    Saturday, May 21, 2016

    TANZIA: WILLSON KABWE AFARIKI


    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar  es Salaam, Isaya Mwita

    Kabwe amefikwa na mauti  akiwa nchini India kwa matibabu. Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina





    _____________________________________________
    Contacts:
    E-mail: - mwamunyimalecela@gmail.com Facebook:- malecela mwamunyi
    Google+:- malecela mwamunyi
    whatsapp:- 0758427270

    No comments:

    Post a Comment

    PAGES

    AUDIO (5) General (1) HABARI (6) michezo (11) UDAKU (1)