May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumzwaliitoa burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma kwenye show iliyoitwa ‘Colors of Afrika’ iliyofanyika kwenye chuo kikuu chaUDOM kwa usimamizi wa Vodacom ambao wameitambulisha kwa Watanzania Internet ya 4G.
Mashabiki wa Diamond Dodoma
Waziri Nape Nnauye
Diamond on stage
Diamond Platnumz na Mo j
Le Mutuz
Diamond alipokea zawadi ya picha kutoka kwa shabiki wake
No comments:
Post a Comment