Kente ni aina ya kitenge ambayo watu wa Ghana ndo wanashona sana ,kama ilivyo Lace kwa watu wa Nigeria.
Kwenye engagements Kente ndo huwa zinavaliwa sana,anashona bibi harusi mtarajiwa na Bwana harusi mtarajiwa.
Ni essential for the engagement huwa hawavai kitu kingine ni sawa uwaambie wa Nigeria wasivae lace na Malemba yao yale kwenye traditional weddings itakuwa Impossible.
Love this kenye mixed na Lace nyeupe
Kente Ball Gown mixed with gold lace
Satin and sheer
Another nguva kente dress
Mixed kente designs
Hizi ndo kwenye zile engagement sasa.
No comments:
Post a Comment