• Breaking News

    Friday, May 20, 2016

    MICHEZO: FELLAIN HATAKIWI MAN U

    Mitandao ya Kijamii imerahisisha mambo mengi mashabiki wanaweza kupiga kura ‘online’. Kupitia mtandao wa kijamii wa Manchester United na timu tajiri namba moja nchini England ni Manchester United kwa mujibu wa Forbes, mashabiki wa Manchester United wameingia katika mtandao wake wa kijamii na kuamua mchezaji gani aondoke.

    Kupitia mtandao wa Manchester United mashabiki wa timu hiyo wameamua kupiga kura mtandaoni na kuamua mchezaji gani atoke msimu huu.

    Rungu hilo la mashabiki limemkuta Maroune Fellein ambaye amepata kura 47% wakati Memphis Depay amepata kura 20% akifuatiwa na Michael Carick kura 9% huku nahodha wa timu hiyo  Wayne Rooney akipata alama 7% .Kama mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii hii sio ngeni .

    No comments:

    Post a Comment

    PAGES

    AUDIO (5) General (1) HABARI (6) michezo (11) UDAKU (1)