• Breaking News

    Sunday, June 5, 2016

    TANZIA: MOHAMED ALLI AFARIKI


    June 4, 2016 dunia imempoteza nguli wa mchezo wa Boxing MUHAMMAD ALI aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74' ambaye amefariki leo.
    THE GREATEST kama alivyofahamika alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PARKISONS uliomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo kwani husababisha mwili kupooza na pia misuli kukaza, Ali alikimbizwa hospitali Alhamis ya wiki hii kwa tatizo la mfumo wa upumuaji "Respiratory Disease." -
     REST IN PEACE KING ALI.

    No comments:

    Post a Comment

    PAGES

    AUDIO (5) General (1) HABARI (6) michezo (11) UDAKU (1)